MJUMBE WA MFUKO WA JAMII WA VODAFONE YA UINGEREZA BI ELIZABETH ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MJUMBE WA MFUKO WA JAMII WA VODAFONE YA UINGEREZA BI ELIZABETH ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT

 
 Muuguzi wa Hosipitali ya CCBRT kitengo cha wagonjwa wa Fistula, Emelda Lweno akimwonesha mjumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Huduma kwa Jamii wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza, Elizabeth Filkin wanawake wenye ugonjwa huo ambao matibabu yake yanafadhiliwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania wakati wa ziara yake hospitalini hapo. 
(Na Mpigapicha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages