MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA, WATANZANIA BADO WAPO KWENYE NYUMBA ZA TEMBE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA, WATANZANIA BADO WAPO KWENYE NYUMBA ZA TEMBE

Hii ni mojawapo ya nyumba zilizopo Mkoani Dodoma.Ikiwa Tunaenda Kutimiza Miaka 50 Ya Uhuru Wa Tanzania Kuna Familia ambazo Hazijawahi Kukaa Kwenye Nyumba Za Matofali hata ya Kuchoma.Tafaklari Chukua Hatua.Je Tunasherehekea Nini Sasa Ikiwa asilimia kubwa ya watanzania hawana umeme,makazi bora na hata maji safi na elimu?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages