Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Power Electronics &
Controls Ltd, Kayungi Kayungi, kuhusu Mashine ndogo inayozalisha Umeme
kwa kutumia maji, wakati alipotembelea Banda la Sido kwenye Maonyesho ya
35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu
Julius Nyerere Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed
Gharib Biala, akisikiliza maelezo ya mjasiliamali, Angela John, kuhusu
mashine ya Kusokota, wakati alipotembelea katika Banda la Sido kwenye
Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja
vya Mwalimu Julius Nyerere
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua
rasmi huduma mpya ya Mfumo wa Utambuzi wa Bidhaa Tanzania, (Global
Standard 1 ), wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwenye Viwanja vya
Mwalimu Julius Nyerere leo Julai 04, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,
Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana kwenye viwanja vya
Mwalimu Julius Nyerere katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa
leo Julai 04, 2011
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)