Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Makame Mbarawa akikata
utepe kuzinduwa kituo kipya cha kutolea huduma na mafunzo ya intaneti
bure cha Zantel ZNET, kilichopo eneo la Mbagala Zakem. Hiki ni kituo cha
kwanza na pekee nchini kutoa mafunzo ya kompyuta na intaneti kwa
wanafunzi bure. Kulia ni Afisa Mkuu wa Masoko wa Zantel Norman Moyo.
Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia Mh Makame Mbarawa akisoma hotuba
yake katika uzinduzi wa kituo cha intaneti cha Zantel kijulikanacho
kama ZNET kilichop Mbagala Zakem. Kituo hiki kitatoa mafunzo na elimu ya
kompyuta pamoja na intaneti kwa wanafunzi na wajasiriamali buree. Kituo
kilizinduliwa rasmi na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia
Makame Mbarawa.
Wasanii wa kikundi cha Mdundiko wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kituo cha cha ZNET.
Wageni waalikwa pamoja na wakazi wa Mbagala Zakem katika mlo wa pamoja baada ya uzinduzi wa kituo cha ZNET kilichopo Mbagala.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Makame Mbarawa akitumia mtandao wa intaneti kwenye kituo kipya cha kutolea huduma na mafunzo ya intaneti bure cha Zantel ZNET, kilichopo eneo la Mbagala Zakem. Wakimuangalia ni Msimamizi wa kituo hicho Wahindi Malekela (kati) na Afisa Mkuu wa Masoko wa Zantel Norman Moyo.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)