Mgeni
Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Mchezo wa Pool Taifa ambaye ni
Mbunge wa Jimbo la Kibakwe Mh. George Simbachawene (kulia) akikabidhi
kombe la ubingwa wa Taifa wa Mashindano ya Safari Lager kwa Nahodha wa
Timu ya Pool ya mkoa wa Dodoma ambao ndio mabingwa wapya wa mchezo huo
kwa mwaka huu.
Mgeni
Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Mchezo wa Pool Taifa ambaye ni
Mbunge wa Jimbo la Kibakwe Mh. George Simbachawene (kushoto) akikabidhi
kitata cha sh. mil 5 kwa kiongozi wa timu ya mkoa wa Dodoma ikiwa ni
zawadi ya ubingwa wao huo walioupata usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi
wa Kilimani Club,mjini Dodoma.
Meneja
wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelukindo (kushoto) akikabidhi kitata cha
sh. mil 3.5 kwa kiongozi wa timu ya mkoa wa kimichezo wa Ilala,ikiwa
zawadi ya ushindi wa pili walioupaka mkoa huo.
Mgeni
Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Mchezo wa Safari Lager Pool Taifa
ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe Mh. George Simbachawene akiwa
pamoja na viongozi wa mchezo wa Pool na viongozi wa TBL wakifuatilia
moja ya michezo ya Fainali za Pool za Taifa kati Ilala na Dodoma
iliyokuwa ikifanyika kwenye ukumbi wa Kilimani,Mjini Dodoma Usiku wa
Kuamkia leo.
Habari kwa hisani ya Mtaa kwa mtaa Blog
Habari kwa hisani ya Mtaa kwa mtaa Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)