Katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo
CHADEMA, DKT. WILBROAD SLAA, amesema amesikitishwa na hatua ya Serikali
kudai kuwa haina ushahidi juu ya kuhusika kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu
wa Serikali, ANDREW CHENGE, katika ununuzi wa Rada.
DKT. SLAA, amedai kuwa Chama hicho kitapinga jitihada zozote za kuzimwa kwa sakata la watuhumiwa waliohusika katika ununuzi huo kufuatia kuwepo kwa nyaraka zinazoonyesha kuhusika kwa Mwanasheria huyo.
Amesema kitendo cha Serikali kudai kuwa haina ushahidi juu ya kuhusika kwa Mwanasheria huyo ni sawa na kulipotosha bunge pamoja na umma kwa ujumla kufuatia kuwepo kwa nyaraka zinazoonyesha kuhusika kwake katika sakata la hilo.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)