WAZIRI HAWA GHASIA KATIKA WIKI YA UTUMISHI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI HAWA GHASIA KATIKA WIKI YA UTUMISHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia akipata maelezo kutoka kwa Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi wa Wizara ya Fedha William Gabriel Ghumpi leo jijini Dar es salaam wakati Waziri huyo alipotembelea banda la Wizara ya Fedha ikiwa ni siku ya nne ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages