WASANII WA FILAMU WATEMBELEA BUNGENI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASANII WA FILAMU WATEMBELEA BUNGENI DODOMA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami (kushoto) akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 17, 2011. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami aikiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini waliokwenda Bungeni Mjini Dodoma Juni 17, 2011. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

  1. hawa jamaa vipi? wameenda kufanya nini au washaona mjengoni ni kama kariakoo!! enzi za nyerere ilikuwa kuingia bungenni inshu....

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages