Pages

VODACOM MISS LINDI KUPATIKANA JUNE 4 MWAKA HUU.

Washiriki Wa Vodacom Miss Lindi 2011 Wakiwa Katika Picha Ya Pamoja.

Shindano La Kumsaka Vodacom Miss Lindi mwaka 2011 litafanyika katika ukumbi wa Lindi Oceanic Hotel siku ya jumamosi tarehe ya tarehe 04 mwezi huu katika shindano litakaloshirikisha warembo 10 waliokuwa katika maandalizi.
 
Picha Kwa Hisani Ya Francis Godwin. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)