ONESHO LA MAVAZI KUCHANGIA WAGONJWA WA MACHO
Meneja
Masoko Mtendaji wa Exim Bank Oscar Ruhasha (kulia) akizungumza na
waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu maonesho ya mavazi ya
kuchangia wagonjwa wa macho nchini katikati ni Meneja Masoko wa bank ya
Exim Linda Chiza na Balozi wa kampeni hiyo Fareed Kubanda 'FID Q'
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)