Wafanyakazi
wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi na pamoja na watumishi
wa Manispaa ya Kinondoni wanaotuhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka
na kutoa taarifa za uongo wakishuka kwenye gari kwenye mahakama ya
Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana,wakituhumiwa kwa makosa
45.Picha na Michael Jamson.
Waandishi Wetu
VIGOGO
wanane wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,
wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na
mashtaka 45 tofauti.
Kwa Habari Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)