UZINDUZI WA TAASISI YA UCHUNGUZI NA USHAURI ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA TAASISI YA UCHUNGUZI NA USHAURI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia
 MLENZI wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar (ZRPP) Dk. Salim Ahmeid Salim akielezea umuhimu wa Taasisi hiyo katika hafla ya Uzinduzi wake Ukumbi wa Salama  Bwawani. 
NAIBU Mkurugenzi  wa ZRPP Dk. Ahmeid Gurnah  akizungumza katika uzinduzi huo jana
M,KURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar Mohammed Yussuf  akielezea  Taasisi hiyo wakati wa Uzinduzi wa uliofanyika Hoteli ya Bwawani jana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mlezi wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar (ZRPP ) dK. Salim Ahmed Salim. wakati wa Uzinduzi wa Taasisi hiyo jana
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akizungumza na Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zanzibar na timu ya Malindi Mohammed Mkweche, wakiwa katika viwanja vya Bwawani Hotel, katikati Abdalla Maulid na Nassor Mashoto.  
MUANDISHI wa habari wa Gazeti la Mwananchi na Radio DW Salma Sais akizungumza na  Naibu Mkurugenzi wa  Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar ( ZRPP) baada ya uziduzi huo  wakiwa nje ya Ukumbi.
WANANCHI wakimsikiliza Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakati wa uzinduzi wake. Picha Zote na Mdau Othman Mapara-Zanzibar
 WASANII wa Kikundi cha Tausi Taarab wakitumbuiza katika sherehe za Uzinduzi wa Taasisi wa Uchunguzi na Ushauri ya ( ZRPP ) iliofanyika Ukumbui wa Salama

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages