UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) ILIPONG'AA KATIKA KINYANGANYIRO CHA GRAND MALT HIGHER LEARNING - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) ILIPONG'AA KATIKA KINYANGANYIRO CHA GRAND MALT HIGHER LEARNING

Mshindi Wa Tuzo Ya Grand Malt Higher Learning Jimmy Akipokea Tuzo Mara baada ya Kuibuka Mshindi Katika Kinyanganyiro Cha Kuwania Tuzo Za Grand Malt na Kuwa Raisi Wa Grand Malt Wa Vyuo Vya Elimu Ya Juu Mkoani Dodoma Ambapo Washindi Wa Kwanza Katika Categories Tofauti Waliweza kutoka katika Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM).
Mkurugenzi wa Kinywaji Ambacho hakina Kilevi cha Grand Malt Madam Consolata Adam Akimkabidhi Zawadi Mshindi Wa Tuzo Za Grand Malt Mkoa Wa Dodoma kitita cha Shilingi 400,000 taslimu. Washindi Wote waliopatikana Katika Kategori Mbalimbali Wamekua Mabalozi Wa Grand Malt Katika Vyuo Vyao.
Washindi Wa Tuzo Za Grand Malt Kutoka Vyuo Vikuu Mbalimbali vilivopo Mkoani Dodoma Wakiruka mapanga Mara Baada ya Kutangazwa Washindi.
Washindi Kutoka UDOM na Mabalozi Wa Grand Malt UDOM wakijiandaa Kuanza Show Mara baada Ya Kutangazwa Washindi huku wakiwa wamebeba zawadi zao ikiwa pamoja na mabegi,fulana na pesa taslimu.
Starring Wa Lukaza Blog Josephat Lukaza Nikiwa Na Brand Manager wa Grand Malt Madam Consolata Adam Wa pili Kutoka Kushoto) Mshindi Wa Kwanza Babra Kalugira na Mshindi Wa Kwanza Wa Social Responsibilities Kutoka Udom Katika Picha Ya Pamoja.
Starring Wenu Nikiwa na Raisi Wa Grand Malt UDOM wa kwanza Kulia Mr Jimmy Na Mdau Wake Huku Tukiwa na Tuzo Iliyokwenda Kwa Chuo Bora na Tuzo Hiyo Imekwenda katika Chuo Kikuu Cha Dodoma
Raisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii (Wa Kwanza Kushoto) Mh Mwakibinga Philipo Akiwa ameshika Tuzo ya Grand Malt ambapo Chuo Kikuu Cha Dodoma Ilishinda wakati Wa Pili Kutoka Kushoto ni Waziri Mkuu Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa Na Lugha Mh William Muhumuzi
Raisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa na Lugha Mh Pihilipo Mwakibinga (Mwenye Koti jeusi)akiwa katika picha ya pamoja na wadau walioshiriki kinyanganyiro cha grand malt huku wakiwa na tuzo ya chuo bora ambapo ilienda katika chuo kikuu cha dodoma.
Meneja Wa Kinywaji Cha Grand Malt Madam Consolat Adam (wa pili kushoto) Akiwa Katika Picha Ya Pamoja na Baadhi ya Washindi Na Mashabiki Wa Grand Malt.
Kundi la Dance Kutoka UDOM wakiserebuka miondoko ya Bondeni Kwa Madiba Huku Meneja Wa Grand Malt Madam Consolata 
 (Wa tano Kutoka Kulia) Naye Akijaribu Kuyarudi Makwaito

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages