TAJI LA VODACOM MISS CHANG'OMBE LANYAKULIWA NA CYNTHIA KIMASHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAJI LA VODACOM MISS CHANG'OMBE LANYAKULIWA NA CYNTHIA KIMASHA

Vodacom Miss Chang’ombe Cynthia Kimasha katikati akiwa na mshindi wa pili Husna Twalbu(kushoto) na mshindi watatu Joyce Maweda kwenye shindano hilo lililofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam.
Warembo tano bora waliotinga katika kinyanganyiro cha Vodacom Miss Chang’ombe,shindano hilo lilifanyika hapo jana katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam
 Mrembo Ummy Mohamed aliyeshiriki katika shindano laVodacom Miss Chang’ombe akipita jukwani na vazi la jioni, shindano hilo lilifanyika hapo jana katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares salaam.
Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto,Mdau wa mambo ya urembo Rachel Sindbird,Rahma Kaude na Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude wakifatilia shindano la Vodacom Miss Chang’ombe hapo jana ambapo Cynthia Kimasha alinyakua taji hilo,shindano hilo lilifanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam.
Baadhi ya warembo walioshiriki katika shindano la  Vodacom Miss Tanzania 2010,kutoka kushoto Bahati Chando,Salma  Mwakalukwa na Consolatha Lukosi wakipozi katika picha kwenye shindano la kumtafuta Vodacom Miss Chang’ombe 2011 ambapo Cyntha Kimasha alinyakua taji hilo,hapo jana katika viwanja vya TCC jijini Dares Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages