Mwenyekiti
wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu (wa pili kushoto),
akimkabidhi bendera ya Taifa Mkuu wa msafara wa Taifa Stars, Samwel
Nyalla, Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika
mchezo wa marudiano na timu ya Taifa ya Jumhuri ya Afrika ya Kati,
unaochezwa keshokutwa nchini humo. Kushoto ni Kocha wa timu hiyo, Jan
Poulsen na kulia ni nahodha Shadrack Nsajigwa na Meneja wa timu,
Leopold Tasso.Picha na Mdau Richard Mwaikenda
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)