Mkuu
wa kituo cha michezo kanda ya kusini, Vicent akisisitiza jambo wakati
wa semina kwa maafisa mipango miji kutoka mikoa ya nyanda za juu
mashariki,juu ya kutoa mchango wao katika sekta ya michezo kwa kutenga
maeneo ya wazi.Semina hiyo ya siku tatu iliyofanyika mjini Songea
imemalizika juzi.
Ofisa
tawala wa Wilaya ya Songea, Richard Mbambe,akifunga semina ya siku tatu
kwa maofisa mipango miji iliyofanyika mjini Songea juzi, ambapo
aliwakumbusha maofisa hao kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya michezo
katika Halmashauri zao.
Na Sufiani Mafoto
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)