Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye(kulia) akikumbatiana kwa
fraha na Mhariri Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi, Daniel
Msacky,alipotembelea ofisi za Mwananchi Communications Ltd, Tabata, Dar
es Salaam, 29/6/2011. Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu wa Itikadi na
Uenezi CCM, Sixtus Mapunda.
Katibu
wa NEC, Itikati na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na Wahariri wa
magazeti ya Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, alipofaya ziara
katika ofisi za kampuni hiyo, Tabata Dar es Salaam. Wa pili kulia ni
Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda na
Kshoto ni Mhariri Mtendaji wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd,
Theophil Makunga, Mhariri Mrendaji gazeti la Mwananchi Dennis Msacky, na
Mhariri wa Mwanaspoti Frank Sanga.
Nape
akionyeshwa maandalizi ya gazeti la Mwananchi katika hatua ya mwisho
kabla ya kwenda kuchapwa mtamboni. Anayempa maelezo ni Makunga.
Meneja
uzalishaji katika mtambo wa uchapaji magazeti ya kampuni ya Mwananchi
Communications Ltd, Sameer Aher akimweleza Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye sehemu ya mtambo huo inavyofanya kazi.Kushoto ni
Mhariri Mtendaji wa MCL Theophil Makunga.
NDANI YA GLOBAL PUBLISHERS
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na Meneja Mkuu wa
Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Kiu,
Ijumaa na Champion, Abdallah Mrisho, baada ya kuwasili Ofisi za kampuni
hiyo, Mwenge, Dar es Salaam. leo . Wapili kulia ni Mhariri Kiongozi wa
kampuni hiyo na Mhariri Kiongozi Oscar Ndauka na Mwandishi wa
kampuni hiyo Luqman Maloto na wapili kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu wa
Idara ya Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.
Nape
akiwa katika ofisi za Global Publishers. Kushoto ni Abdallah Mrisho
Wengine kutoka kulia ni, Sixtus Mapunda, Maloto,Ndauka na Mhariri
kiongozi wa michezo wa Global Saleh Ally
Na Nkoromo Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)