MKUU WA KITENGO CHA MAHUSIANO WA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA NECTOR FOYA AKIMWONYESHA KAMISHNA MKUU WA TRA BANGO LA KUELIMISHA UMMA NJIA ZA ULIPAJI KODI KUPITIA HUDUMA YA VODACOM M-PESA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA KITENGO CHA MAHUSIANO WA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA NECTOR FOYA AKIMWONYESHA KAMISHNA MKUU WA TRA BANGO LA KUELIMISHA UMMA NJIA ZA ULIPAJI KODI KUPITIA HUDUMA YA VODACOM M-PESA


Mkuu wa kitengo cha Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Nector Foya katikati akiwaonyesha Naibu  Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Placidus Luoga,na Mkuu wa kitengo cha Mauzo Vodacom m-pesa FranklinBagalla bango litakalotumika kuelimisha umma njia za ulipaji kodi kupitia huduma ya Vodacom  m-pesa wakati wa utambulisho rasmi wa huduma hiyo kwa waandishi wa habari Hivi karibuni jijini Dare Es Dalaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages