Mchezaji
wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza,Andy Cole
(katikati) akiongozana na baadhi ya Wakuu wa Kampuni ya Simu ya Airtel
wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa J.K. Nyerere,mapema leo
asubuhi.Andy Cole amewasili nchini leo kwa ajili ya kuhamasisha michezo
mashuleli kupitia kampeni inayoendeshwa na Kampuni ya Airtel ifahamikayo
kwa jina la "AIRTEL RISING STAR".
Naibu
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dk. Fenella Mukangara
(kulia) akiagana na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya
nchini Uingereza,Andy Cole katika viwanja vya Makongo,mara baada ya
kutoa somo kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Makongo wanaojifunza
kucheza mpira wa miguu.katikati ni Katibu Mkuu wa TFF,Angetile Oseah.
Andy
Cole akiongozana na Baadhi ya wachezaji wa timu ya Shule ya Sekondari
ya Makongo kuelekea katika viwanja vya shule hiyo kwa ajili ya kuwapa
somo la mchezo wa mpira wa miguu.
Muwakilishi
wa Timu ya Manchester United,Nick Humphrey (pili kulia) akitoa somo kwa
wazezaji wa timu ya shule ya Makongo kabla ya kuanza kupewa somo na
Andy Cole (kulia) mapema leo asubuhi.
Kwa Chanzo Na Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>>
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)