Vodacom
Miss Kurasini Mwajabu Juma akipunga mkono mara baada ya kutangazwa
mshindi ,kushoto mshindi wa pili Naifat Ally na mshindi wa tatu kulia
Prisca Steven.
Afisa
Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akimkabidhi mshindi wa
Vodacom miss kurasini Mwajabu Juma kiasi cha fedha taslimu cha shilingi
500,000,shindano hilo lilifanyika Jijini Dares Salaam.
Warembo
tano bora waliofanyikiwa kuingia katika shindano la kumtafuta Vodacom
Miss kurasini ambapo Mwajabu Juma(9)ndiye alienyakua taji hilo.
Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,akaiwaaga wachezaji wa
timu ya Holy Family ya mkoa wa Ruvuma waliokuwa wakielekea Zanzibar
kwenye mashinda ya Muungano Cup watapambana na mshindi wa Zanzibar
kesho,kushoto Mratibu wa shindano hilo Daud Yassin.
Mmmoja
wa wacheza wa timu ya Holy Family ya Mkoa wa Ruvuma akijaribu kumili
mpira mbele ya Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude na
Mratibu wa shindano la Muungano mara baada ya kukabidhiwa mipira kwa
ajili ya mchezo wa kesho na timu ya Zanzibar.
Mmoja
wa washiriki wa shindano la kuogelea la klabu bingwa Tanzania 2011
akijitahidi kumaliza kilometa 200 katika shindano hilo linalofanyika
Funky Obitz masaki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi
ya washiriki wa mashindano ya kuogelea ya klabu bingwa Tanzania 2011
wakichumpa kwa kuanza mashindano hayo ya kilometa 200,yanayofanyika
Funky Obitz masaki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)