MATAMASHA YA “EXCEL WITH GRAND MALT” – MKOANI DAR ES SALAAM & IRINGA KUFANYIKA JUMAMOSI YA TAREHE 11 JUNE 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MATAMASHA YA “EXCEL WITH GRAND MALT” – MKOANI DAR ES SALAAM & IRINGA KUFANYIKA JUMAMOSI YA TAREHE 11 JUNE 2011


Baada ya wanazuoni Mkoani Dodoma  kuwapigia kura wale waliowachagua kunyakua tuzo za Excel with Grand Malt mwaka huu Na Washindi Kukabidhiwa Zawadi Zao Jumapili ya tarehe 5 June 2011 Iliyopita katika Viwanja Vya Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE - DODOMA) .... 

Sasa ni muda wa kukabidhi tuzo Katika Mikoa Ya Dar Es Salaam Na Iringa !!

Njoo ushuhudie wanazuoni wakinyakua tuzo za Excel with Grand Malt katika fani za; Ubunifu, Michezo, Mazingira, Utamaduni na Burudani.

Tamasha la Excel with Grand Malt Dar es Salaam litafanyika Jumamosi hii tarehe 11 June 2011 kwenye viwanja vya TCC Club Chang”ombe.

Tamasha la Excel with Grand Malt Iringa litafanyika Jumapili hii tarehe 12 June 2011 kwenye viwanja vya Mkwawa University.

Matamasha yote yataanza saa nne asubuhi, kutakuwa na michezo na zawadi mbalimbali za Grand Malt, na katika kusherehesha matamasha haya watakuwepo Temba, Chege na Wanaume TMK! Joh Makini na Chid Bebz.

Hakuna kiingilio na wote mnakaribishwa sana.

Ni muda wa wanavyuo wote kuhudhuria na kufurahia kwa pamoja –Ndio Bwana sote kwa pamoja tujumuike kwenye hili bonge la Tamasha

Usafiri utakuwepo vyuoni na kuwarudisha baada ya Tamasha. 

Grand Malt…… Ni Zaidi ya Kimea ni Grand Malt!

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages