Daktari
wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke, Dk.Richard Msunga (kushoto) na
Dk.Kuwendwa, wakitoa huduma ya kwanza kwa abiria Mohammed Ngwale
aliyejeruhiwa katika ajali ya daladala namba T 241 AZB, iliyogongana
na Lori namba T 504 AWH Dar es Salaam jana,katika makutano ya barabara
za Mandela na Kilwa. Hata hivyo majeruhi huyo alifariki baadaye.
Baadhi ya majeruhi wakipelekwa Hospitali ya Temeke kwa matibabu.Picha na Fadhili Akida
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)