FURAHA IKIZIDI UPELEKEA KUFANYA MAZOEZI BILA KUJUA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FURAHA IKIZIDI UPELEKEA KUFANYA MAZOEZI BILA KUJUA

Jamaa ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja alikutwa na Kamera yetu siku ya jumapili majira ya jioni katika viwanja vya Chuo Cha Biashara CBE Dodoma wakati Grand Malt walipokuwa Wakikabidhi Tuzo Za Excel With Grand Malt Kwa Wanavyuo Mkoani Dodoma Jumapili iliyopita.
Hapa Jamaa Mzuka ulimpanda akaanza Kupiga pushapu kwa kufurahi mziki mzito uliokuwa ukilindima katika viwanja vya CBE Dodoma Jumapili Iliyopita.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages