Meneja
wa bia ya Safari, Oscar Shelukindo (kushoto) akizungumza na waandishi wa
habari Dar es salaam LEO kuusu fainal ya mashindano ya mchezo wa pool
kwa vyuo vikuu utakaofanyika mwishoni mwa wiki Mkoa wa Dodoma kulia ni
Mratibu wa mashindano hayo Innocent Melleck
Credits: Burudani Blog - Super D.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)