DULLY KUPAMBA SHINDANO LA MISS DAR INTER COLLEGE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DULLY KUPAMBA SHINDANO LA MISS DAR INTER COLLEGE

 
MKALI wa bongo fleva anayetamba na singo ya Bongofleva Dully Sykes anatarajiwa kupamba onyesho la kumsaka mrembo wa Miss Dar Inter College linalotarajiwa kufanyika juni 17 katika ukumbi wa Club Sunsiro uliopo Sinza, jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Shindano hilo Vicky Kimaro amesema kwamba maandalizi yanaendelea vema na kwamba warembo 15 toka vyuo vya IFM, Ustawi wa Jamii, CBE na DSJ watapanda jukwaani kuwania taji hilo. 
Na Dina Ismail

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages