Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Samora, Zakaria Binagi (kushoto) akikabidhi misaada wa bidhaa mbalimbali za dukani na Vyerehani vyenye thamani ya Sh milioni 3 kwa kikundi cha watu wanaoishi na virusi vya ukimwi cha Nuru Plan vilivyotolewa na NBC katika hafla ilyofanyika katika ofisi za kikundi hicho, Yombo Vituka, Dar es Salaam jana.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Samora, Zakaria Binagi (kushoto) akikabidhi cherahani kwa Kaimu Mwenyekiti wa kikundi cha watu wanaoishi na virusi vya ukimwi cha Nuru Plan, Elizabeth Sanga katika hafla iliyofanyika katika ofisi za kikundi hicho, Yombo Vituka, Dar es Salaam jana. NBC pia ilikabidhi misaada mingine ya bidhaa mbalimbali za dukani vikiwa na thamani ya jumla ya shs milioni tatu katika hafla hiyo. Katikati ni Ofisa katika Tawi la Samora, Amina Nzimano.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)