AJIRA KWA WATOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJIRA KWA WATOTO

Watoto wanaoishi maeneo ya majengo Mkoani Mtwara wanaokadiriwa kuwa na umri mdogo unaostahili kuwa katika masomo, wakifanya kazi ya kubangua kotosho kila kilomoja ya korosho hulipwa kiasi cha shilingi 300, kwa siku watoto hao wanauwezo wa kubangua kiasi cha kilo 40 kwa siku

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages