WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS UNIVERSE WAINGIA KAMBINI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS UNIVERSE WAINGIA KAMBINI LEO

 Mratibu wa shindano la Miss Universe Maria Sarungi akiwapa maelekezo mbalimbali kuhusiana na shindano hilo mara baada ya warembo hao kuingia kambini leo katika hotel ya Golden Tulip jijini Dares Salaam, shindano hilo linategemea kufanyika  mwishoni mwa mwezi huu lenye warembo 20 limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 ratibu wa shindano la Miss Universe Maria Sarungi akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wa washiriki wa shindano hilo mara baada ya warembo hao kuingia kambini leo katika hotel ya Golden Tulip jijini Dares Salaam, shindano hilo linategemea kufanyika  mwishoni mwa mwezi huu lenye warembo 20 limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 Mratibu wa shindano la Miss Universe Maria Sarungi akitoa utaratibu  mbalimbali kuhusiana na shindano hilo mara baada ya warembo hao kuingia kambini leo katika hotel ya Golden Tulip jijini Dares Salaam, shindano hilo linategemea kufanyika  mwishoni mwa mwezi huu lenye warembo 20 limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Universe wakiwa katika pozi la picha  mara baada ya kuingia kambini leo,shindano hilo linategemea kufanyika  mwishoni mwa mwezi huu na limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages