Afisa Elimu na ufundi wa Halmashauri ya wilaya ya kibaha Ramadhani Luwoga(kushoto)akimshukuru Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon kwa kukabidhi msaada madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4 katika shule ya msingi ya mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani yaliyotolewa na Vodacom Foundation shuleni hapo katikati Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Praygod Mseja.
Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation)Grace Lyon akimsalimia mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani mara baada ya kufika shuleni hapo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa na Vodacom Foundation,anaeshuhudia kulia Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Praygod Mseja.
Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation)Grace Lyon akiongea jambo na mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani mara baada ya kufika shuleni hapo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa na Vodacom Foundation.
Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation) Grace Lyon,Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani wa pwani akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya uongozi wa Vodacom kufika shuleni hapo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi mkoani ya wilaya ya kibaha mkoa wa pwani wakibeba moja ya dawati kati ya madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa msaada na Vodacom Foundation shuleni hapo.
Wanafunzi wa shule ya msingi mkoani ya wilaya ya kibaha mkoa wa pwani Gift Masawe(kushoto) Issa Kikeni (kulia)wakimwangalia Mtaalamu wa maswala ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akiweka nembo kwenye madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa msaada na Vodacom Foundation shuleni hapo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)