ULIMWENGU ULIPOTIKISWA NA MTU MWENYE IMANI HABA NA WENYE IMANI HABA WAKATIKISIKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ULIMWENGU ULIPOTIKISWA NA MTU MWENYE IMANI HABA NA WENYE IMANI HABA WAKATIKISIKA


Hilo ni moja ya bango lililoandika mwisho wa dunia kuwa ni MEI 21 2011 ambapo 
kama kweli dunia ilitakiwa kuisha jana lakini cha kushangaza ni mpaka sasa watu 
wanaendelea na mambo yao kama kawaida. Halafu ni Moja ya Bango ambalo linataka 
kufanana na bangoo lililopo Ndani ya  Stand ya Mabasi yanayosafiri kwenda mikoani 
Ubungo  sehemu ya magari yanapotokea.Bango hilo limeandikwa hivyohivyo.
Kama  Picha Inavyoonekana kwenye gari. Je Dunia Hii Imekwisha Au Ndo Mwisho 
Wa Dunia ya Sasa Na Utawala Wa Shetani Ndo Umeanza Leo?
 
Picha Zote Kwa Hisani Ya  Family Radio

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages