WAREMBO kadhaa wamejitokeza katika mazoezi ili kushiriki shindano la Miss Kurasini, jijini Dar es Salaam, ambayo yanaendelea katika ukumbi wa Equator ulioko Mtoni Kwa Azizi Ally ambako mtandao huu ulifika huko jana jioni kwa ajili ya kuwapasha wateja wetu.
….Wakipozi mbele ya kamera yetu.
Mwalimu wa vimwana hao (aliye mbele yao), Mwanaidi Mbwana, akiwapa maelekezo.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)