YALE YALE DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

YALE YALE DAR ES SALAAM

Foleni kubwa inayokwenda kwa kusuasua katika Barabara ya Morogoro eneo la Jangwani Dar es Salaam. Foleni hii imeanza tangu mida ya saa nane hadi muda huu japo inatembea kimtindo lakini bado inatia uvivu na hasa kwa wenye magari wanaotumia njia hiyo.Picha na Sufiani Mafoto

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages