Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba akiwa katika mitaa ya stendi ya mabasi Chalinze akisubiri viepe(chips) wakati akiwa njiani kuelea mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge mjini humo jana.Mbunge huyu kutokana na wadhifa wake alikuwa na uwezo wa kula katika migahawa mikubwa iliyo Chalinze lakini alimua kujichanganya uswahilini kutokana na utamu wa viepe hivyo.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)