MAKAMU WA RAISI DK BILAL AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA DK ASHA ROSE MIGIRO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAISI DK BILAL AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA DK ASHA ROSE MIGIRO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal kulia, akizungumza na Ujumbe kutoka Umoja wa  Mataifa ulioongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Dk. Asha rose Migiro(kushoto) wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages