MAADHIMISHO YA 'POLISI DAY' TARIME NA RORYA MARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAADHIMISHO YA 'POLISI DAY' TARIME NA RORYA MARA

 
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (kushoto) akimkabidhi Askari Simon Mlashani tuzo ya heshima na ujasiri kwa oparesheni zilizofanyika na kufanikisha uchaguzi mkuu wa mwaka jana, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Polisi (Police day) Aprili 2, 2011.
 
Askari wakiwa katika paredi wakati wa maadhimisho ya siku hiyo mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (hayupo pichani).
 
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (aliyesimama) akiwa na Kaimu Kamanda wa Tarime na Rorya, Sebastian Zakharia na Mkuu wa Wilaya, John Henjewele wakati wa maadhimisho ya siku hiyo.
Picha zote na Igenga Mtatiro, GPL/Mara

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages