WASHIRIKI wakiwa kwenye kongamano la pili kuhusu katiba mpya, lililoandaliwa na Jumuia ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), leo katika ukumbi wa Nkurumah.
Viongozi wa vyama vya Siasa wakiwemo Dk. Wilibrod Slaa na Freeman Mbowe kutoka CHADEMA, wakiwa mstari wa mbele kwenye kongamano hilo
Mwanaharakati wa masuala ya Siasa, Azaveri Lweitama akitoa maoni yake
Profesa Baregu naye hakukosa. Hapa anatoa hoja zake
Mary Kashonta kutoka Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania
(TAWLA), pia alikuwepo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)