Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti Taifa wa CCM
Mzee Yusuf Makamba
Bernard Membe
John Chiligati
Amos Makala
-
Sekretarieti kuu ya CCM imejiuzulu usiku wa kuamkia leo huko mkoani Dodoma. Miongoni mwa waliojiuzulu ni Katibu mkuu wa chama Yusuph Makamba, Katibu wa uenezi na itikadi Jonh Chiligati na katibu wa uchumi na fedha Amos Makala. Mwingine ni Bernad Membe na wengine wengi. Hatua hiyo imefikiwa ili kumpa nafasi mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete kufanikisha azma yake ya chama kujivua gamba kwa lengo la kutengeneza muundo na sura mpya ya chama.
Waliosalia
1. Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3. Amani Abeid Karume - Makamu M'kiti (Z'bar)
Waliotemwa
4. Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu
5. George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Z'bar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe (RIP)
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
14. John Samwel Malecela - Mjumbe
15. John Zefania Chiligati - Mjumbe
16. Amos Gabriel Makala - Mjumbe
17. Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
18. Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
19. Samwel John Sitta - Mjumbe
20. Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Anna Abdallah - Mjumbe
22. Rostam Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Anne Semamba Makinda - Mjumbe
33. Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34. Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37. Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
38. Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe
.*Wenye rangi ya kijani walikuwa wajumbe wa Sekretarieti iliyokuwa inaongozwa na Yusuf Makamba,ambayo pia imejiuzulu.ili kumpa nafasi Mwenyekiti, Rais jakaya Kikwete kuiunda upya.
Waliosalia
1. Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3. Amani Abeid Karume - Makamu M'kiti (Z'bar)
Waliotemwa
4. Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu
5. George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Z'bar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe (RIP)
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
14. John Samwel Malecela - Mjumbe
15. John Zefania Chiligati - Mjumbe
16. Amos Gabriel Makala - Mjumbe
17. Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
18. Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
19. Samwel John Sitta - Mjumbe
20. Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Anna Abdallah - Mjumbe
22. Rostam Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Anne Semamba Makinda - Mjumbe
33. Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34. Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37. Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
38. Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe
.*Wenye rangi ya kijani walikuwa wajumbe wa Sekretarieti iliyokuwa inaongozwa na Yusuf Makamba,ambayo pia imejiuzulu.ili kumpa nafasi Mwenyekiti, Rais jakaya Kikwete kuiunda upya.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)