HABARI NJEMA KWA WANAMUZIKI WOTE TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HABARI NJEMA KWA WANAMUZIKI WOTE TANZANIA

Habari njema kwa wasanii wote wa Miziki ya Aina zote Tanzania, Tanzania Online Internet Radio inawapa nafasi ya kutangaza nyimbo zenu popote Duniani Buree kabisa kupitia station namba moja ambayo ni online pekee hakuna Fm wala Frequency ni wakati wenu kutangaza Muziki wa kizazi kipya Dunia nzima karibuni sana nitumie wimbo kupitia Mbeyayetu@yahoo.com karibuni sana. Tumezingatia umuhimu wenu na kazi zenu Sikiliza Radio Live kupitia tovuti yetu juu ya tangazo la Vodacom.


Presenta
Dj Sir Frenje (Fredy Njeje)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages