Imeripotiwa na moja ya magazeti ya hii leo, kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuongea na Wahariri wa Vyombo Vya Habari ofisini kwake asubuhi hii. Kati ya atakayoyazungumza, bila shaka, Waziri Mkuu Pinda ataliongelea suala la Babu wa Loliondo, na huo utakuwa ndio msimamo rasmi wa Serikali, unasubiriwa.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)