WAZIRI LUKUVI ATINGA LOLIONDO NA AKAGUA MTI WA DAWA NA KUPATA KIKOMBE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI LUKUVI ATINGA LOLIONDO NA AKAGUA MTI WA DAWA NA KUPATA KIKOMBE


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Williamu Lukuvi akiwa ameshika tawi la mti aina ya Mugamuryaga ambao huchimbwa mizizi yake na kuchemshwa dawa.Pembeni ni Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawalali wakati alikuwa akimuonyesha mti huo.
 Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) William Lukuvi na Rosemary Nyerere baada ya Lukuvi kumaliza kuukagua mtu unaozalisha dawa hiyo. Lukuvi alitua Loliondo mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Baadhi ya wananchi waliofika nyumbani kwa Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile kunywa dawa  wakiagana na Mchungaji na kumtakia kheri baada ya kupata kikombe.Kulia kwa Mchungaji ni Balozi Paul Rupia.
Sehemu ya msururu wa magari yaliyokatiza Mto katika Kijiji cha Samunge.Picha na Habari na Mdau Sufiani Mafoto.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages