Gari lililotumika na askari wa Jeshi la Kenya kuingia nchini kinyume na taratibu za kijeshi kama ilivyoelezwa na wataalamu wa masuala ya kijeshi likiwa katika foleni ya kuelekea kwa Babu kupata Kikombe.
Askari waliotumia gari hili walilitelekeza kwenye foleni na
kutembea kwa miguu kuelekea kijijini Samunge, Loliondo kunywa dawa kwaMchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile.
kutembea kwa miguu kuelekea kijijini Samunge, Loliondo kunywa dawa kwaMchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile.
Hata hivyo gari hili lilipochunguzwa kwenye vioo vyake lilikuwa na namba za usajiri SU 31953.
Baadhi ya watu wakiwa wanagombea kununua bidhaa katika gari
la mizigo FUSO lenye namba T.124 AFJ lililokuwa likipeleka bidhaa hizo
kijiji cha Samunge kwa Babu.
la mizigo FUSO lenye namba T.124 AFJ lililokuwa likipeleka bidhaa hizo
kijiji cha Samunge kwa Babu.
Hata hivyo gari hilo lilishindwa kufika kutokana na foleni ndefu ya magari.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)