WAISLAM DAR ES SALAAM WAANDAMANA KUPINGA NCHI ZA MAGHARIBI KUVAMIA LIBYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAISLAM DAR ES SALAAM WAANDAMANA KUPINGA NCHI ZA MAGHARIBI KUVAMIA LIBYA


Isharaa ya Umoja ya kuilinda Nchi ya Libya ikionekana na sura ya Rais Muammar Al-Gaddafi

Baadhi ya Waislam wakiwa katika viwanja vya biafra Kinondoni Dar ES salaam jana kuipinga Marekani na washirika wake kuishambulia Libya

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiandamana kutoka Msikiti wa Mtambani, Kinondoni Dar es Salaam jana kwenda viwanja vya Biafra ambako walifanya mkutano wa kulaani mashambulizi ya majeshi ya Marekani na washirika wake dhidi ya Libya. Asante Ya Picha: Burudanblog)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages