MJADALA KUHUSU KATIBA MPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MJADALA KUHUSU KATIBA MPYA


Waziri wa Katiba na Sheria, Selina Kombani (mwenye suti nyeusi) akiongozana na viangozi wa Taasisi mbalimbali za kinamama wakiingia katika Viwanja vya Leaders kwa ajili ya kufungua mkutano huo.

Mmoja wa viongozi wa Utu Mwanamke, akisoma hotuba yake ya kumkaribisha mgeni rasmi, Waziri wa Katiba na Sheria, Selina Kombani, alipoalikwa katika ufunguzi wa mkutano wa kuibua mjadala wa Haki ya Kinamama na watoto katika Katiba mpya ili kuona kifungu wanachoweza kuchangia na kujadili katika Katiba mpya. Mkutano huo ulifanyika leo asubuhi katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni.
Baadhi ya kinamama waliohudhulia mkutano huo wakiselebuka na muziki uliokuwa ukipigwa mahala hapo. Baadhi ya kinamama waliohudhulia mkutano huo wakisikiliza hotuba ya Waziri Kombani.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages