Mbunge wa Moshi mjini (Chadema)Philimon Ndesamburo
-----
Mbunge wa Moshi mjini Philimon Ndesamburo ametangaza kutoa usafiri wa bure wa kuelekea kwa Babu Loliondo ambae anasadikiwa kutibu magonjwa sugu.
Ndesambulo amewataka wakazi wa Moshi mjini na vitongoji vyake wenye kusumbuliwa na maradhi sugu kujiandikisha ofisini kwake ili awapatie usafiri wa bure kwenda Loliondo kwa Babu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)