Waziri wa Ulinzi Dk Hussein Mwinyi akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mkutano uliokua unakutanisha vyombo vya ulinzi na usalama vya Msumbiji na Tanzania uliomalizika jana kwenye hoteli ya protea jijini Dar es Salaam jana.mkutano huu ulijadili ushirikianon kati ya nchini mbili hizi kupambana na uhalifu mbalimbali ukiwemo Uharamia ambao umekua tishio katika Ukanda wote wa bahari ya hindi.Waziri Mwinyi amesema ni vigumu kupambana na uharamia bika kushirikiana na nchi jiarani kwa kuwa maharamia wanambinu nyingi za kufanya uharamia huo
Mkuu wa majeshi ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyage(Kushoto)akiwa kwenye mkutano huo Pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Said Mwema
Waziri wa Ulinzi Dk Hussein Mwinyi(kushoto)akiongea jambo na mkuu wa majeshi ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyage. katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi Andrew Nyumayo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)