Spika Anna Makinda (Mb) kulia na Mary Nagu Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu- Uwezeshaji Na Uwekaza Wakifuatilia Kwa Makini Hotuba Ya Waziri Mkuu katika semina elekezi ya wabunge iliyofanyika katika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Jijini Dar Es Salaam
Mbunge Wa Jimbo La Hai Na Mwenyekiti Taifa Akifuatilia Kwa Umakini Wakati Waziri Mkuu Akifunga Semina Elekezi Ya Wabunge Wote Wa Tanzania
Waziri Mkuu Mh Mizengo Kayanza Peter Pinda akiwa na Spika Wa Bunge La Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mh Anna Makinda aktai wakitoka ukumbini baada ya semina kuisha.
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akifunga Semina Elekezi ya Wabunge Iliyofanyika Dar Es Salaam Kwenye Hotel Ya Blue Pearl Ubungo
Baadhi Ya Umati wa Wabunge waliohudhuria Semina Elekezi
Picha Kwa Msaada Wa Michuzi Blog.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)