Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) katika barabara ya Sam Nujoma jijini Dare s Salaam jana asubuhi.Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa na kulia ni Mkurugenzi mkuu wa TCRA Prof.John Nkoma
Mtaalamu wa masafa ya Mawasiliano katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Ikuja Jumanne akimpa maelezo Rais Jakaya Kikwete jinsi mitambo ya kudhibiti mawasiliano inavyofanya kazi wakati wa Ufunguzi wa jengo la Mamlaka hiyo uliofanyika Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa TCRA, Prof. John Nkoma, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano TCRA, Innocent Mungi (kulia).
Jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) lililofunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam jana asubuhi.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)