MAMA SALMA KIKWETE KATIKA KIKAO CHA WAKE WA WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA KIKAO CHA WAKE WA WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA

 
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Ki
kwete akihudhuria mkutano wa mwaka wa wake wa marais na wakuu wa nchi za Afrika unaofanyika nchini Ethiopia jana, tarehe 31.1.2011.
 
Mama Salma Kikwete akishauriana jambo na wasaidizi wake, Bibi Neema Mhada (kushoto) na Daud Nassib (katikati) wakati wa kikao cha wake wa Marais na wakuu wa nchi za Afrika.
 
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akijadiliana jambo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP, Dk. Sheila Sisulu wakati wa kikao cha wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika kinachofanyika Addis Ababa jana.
 
Mama Salma Kikwete akibadilishana mawazo na Mama Callista Mutharika, mke wa Rais wa Malawi Mheshimiwa Bingu wa Mutharika wakati wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika huko Addis Ababa.

   PICHA KWA HISANI YA  IKULU MAWASILIANO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages