Jioni ya Tarehe 8-2-2011 kambi ya upinzani ya ChamaCha Chadema ikiongozwa na kiongozi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Pichani juuakichangia hoja bungeni walitoka ndani ya ukumbi wa bunge wakati kikao kikiendelea chini ya spika Anne Makinda kwa Madai ya kupinga kupitishwa kwa mabadiliko ya Kanuni za Bunge juu ya tafsiri rasmi ya KAMBI YA UPINZANI Bungeni
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bunge Mheshimiwa Freeman Mbowe(kushoto)akiongoza Wabunge wa Chadema kutoka Ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Kabwe
Wabunge wa Chadema Wakitoka Ndani ya Ukumbi wa Bunge Jana Jioni.Picha Zote na Mwanakombo Juma-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)