WAZIRI NYALANDU::WAFANYABIASHARA WA KIGENI WANAOZIBA FURSA ZA WATANZANIA WAONDOKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI NYALANDU::WAFANYABIASHARA WA KIGENI WANAOZIBA FURSA ZA WATANZANIA WAONDOKE


 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Lazaro Nyalandu ametoa lake la moyoni lililonfanya kufanya ziara hiyo. Akasema, "kuanzia leo natoa siku 30, wafanyabiashara wote wa kigeni ambao wanajishughulisha na biashara zile zinazoziba fursa za Watanzania waondoke, la sivyo baada ya muda huo watakiona",Haiwezekani mtu anaingia nchini kama mwekezaji au analetwa na mtu mwenye kibali cha uwekezaji kama mtaalam wake,halafu mtu huyo anauza maua na bidhaa ndogondogo mitaani, hili halikubaliki" alisema.kushoto kwa Naibu Waziri ni Meya wa Manispaaa ya Ilala jerry Silaa
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Lazaro Nyalandu akiondoka na kuwapungia wadau soko la kariakoo jijini Dar es Salaam leo muda mfupi baada ya kufanya ziara Sokoni hapo.Picha zote na Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages